
Plan Your Trip With Us
Why Choose Us?
See how we go the extra mile to make sure you have the best experience.

Friendly Staff

24/7 Customer Support

Skilled Drivers

Convenient Schedules
About Us
Welcome to Esther Luxury Coach,
Esther Luxury Coach inatoa huduma bora za usafiri wa mabasi kutoka Dar es Salaam kwenda miji mbalimbali nchini Tanzania. Kwa safari za uhakika, salama, na za wakati, tunakuhakikishia safari yenye amani na faraja. Mabasi yetu yameundwa kutoa huduma za kiwango cha juu, zikiwa na viti vya starehe na vifaa vya kisasa kwa ajili ya abiria wetu.
We provide best bus service across Tanzania
Since 2002 for people.

Our Bus Amenities
Making your bus journey better
USB Charging

Camera (CCTV)

Azam TV

Toilet

AC

Soft Drink

Quick Book
Making your bus journey better with our Popular bus routes

Testimonial's
We are dedicated to satisfy our customers

"Esther Luxury Coach imenivutia sana kwa huduma yao ya kiwango cha juu. Mabasi yao ni mapya na yanafanya safari kuwa ya kufurahisha. Nawashauri wote wanaosafiri kati ya Dar es Salaam na Arusha kutumia mabasi ya Esther Luxury Coach."

~ John M.

"Nimefurahia sana safari yangu na Esther Luxury Coach. Dereva alikuwa makini na huduma kwa abiria ilikuwa bora. Nitachagua tena basi hili kwa safari zangu zijazo."

~ Asha J.

Awesome Travelers

Happy Customers

Bookings Done

Safe and Smooth Travels















AWARDS AFRICA
2024